Ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole jimboni Karagwe kwa shughuli za Ukaguzi wa Utekerezaji wa Ilani ya uchaguzi ikiwemo Ujenzi wa Majengo ya Chuo Cha Ufundi Karagwe (KDVTC), Ukaguzi wa majengo ya kituo cha afya Kayanga, Ukaguzi wa majengo na utendaji kazi wa Ofisi ya Uthibiti ubora wa Elimu wilaya karagwe na Mkutano wa kujumuika pamoja na kusherekea miaka minne ya ushindi wa uongozi wa awamu ya tano ya Rais Dr.John Pombe Mafuguli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Eliud Rwechungura
WANAWAKE WAJASIRIAMALI WA KARAGWE WAPEWA ELIMU YA BIASHARA NA KUTAMBUA FURSA SHERIA ZA KUFANYA BIASHARA MIPAKANI
Taasisi ya Mama Alaska Jamii kwa kushirikiana na Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), Trade Mark East Africa, Halmashau...
-
M walimu mkuu wa shule ya St. Peter Claver primary school Padri Alchelaus Kalokora Mtalemwa amefurahi baada ya ya Katibu Mtendaji wa Baraza...
-
Taasisi ya Mama Alaska Jamii kwa kushirikiana na Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), Trade Mark East Africa, Halmashau...
-
Picha ya Marehemu Nekemia Musa Kazimoto katika ibada ya shukrani iliyofanyika leo tarehe 23 Disemba 2020 ikiwa ni mwama mmoja baada ya kutw...
No comments:
Post a Comment
Kwa mawasiliano;
Eliud Rwechungura
0759646339
eliudrwechungura98@gmail.com
Karagwetv@gmail.com
Endelea kutufatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii
instagram: karagwetv
Facebook:karagwetv